mi shida yangu ni kwenye laptop yangu ya note book sumsung n150, kila nikiingiza activation keys za window 7, na VISTA ginuine zinagoma, nimejaribu hata kutumia key loader , pia zinagoma, bado inaandika 30 days trial, wakati kwa komputer nyingine zinafanya kazi na zinakuwa genuine.
anayefahamu hili anisaidie plz