kasambalakk
Senior Member
- Apr 2, 2011
- 126
- 17
Sure,piga chini hyo windows!
kama siyo partition na umeweka HDD mbili basi disconect kwanza hiyo drive D ndipo uweke fresh copy ya windows + antivirus kabisa ukimaliza conect hiyo drive D na uiscanKIONGOZI HILO NIMEFANYA MORE THAN ONE LAKINI..TATIZO NI KUWA ME nina drive 2 drive d ndio inakila kitu dat y niformat hata kurepair tatizo linarudi muda huo huo..ndio maana nataka kujua linaweza kuondolewa na nini..
Sure,
Upgrade to Windows 7 Ultimate. Tayari ipo hapa JF, kwenye downloads section, files zako zitabaki bila kuathirika, ita-rename old OS kama Windows.old (usi-format pc please!).