TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,533
- 28,506
Hao ni Virus.. Fungua My computer >>>Tools >>>Folder Option >>>>View>>> Click "Show Hidden Folder" >>> Click Ok!
Folder zako zikionekana, copy data zako sehemu ambayo ni safe.
Delete Folders zote zilizokuwa Hidden
Fuata ile njia ya kwanza hapo juu ukifika kwenye View, Click Don't Show Hidden Folders >>>>Click OK!
Naomba unielewshe vizuri, uki-search unayapata, unapoyapata huwezi copy/cut kwenda unapotaka wewe?
Nenda kwenye command(cmd), fungua folder husika(C:\Document and setting\admistrator)\Desktop) type attrib tupe matokeoNi kweli nikisearch baadhi nayapata, mengine siyapati kwan nyingi ya files nilikuwa sijaorodhesha majina yake(filenames) kwenye hard copy. Na pia nataka kuondoa tatizo hilo kabisa ili lisitokee tena.
Hao ni Virus.. Fungua My computer >>>Tools >>>Folder Option >>>>View>>> Click "Show Hidden Folder" >>> Click Ok!
Folder zako zikionekana, copy data zako sehemu ambayo ni safe.
Delete Folders zote zilizokuwa Hidden
Fuata ile njia ya kwanza hapo juu ukifika kwenye View, Click Don't Show Hidden Folders >>>>Click OK!
Hiyo inaweza pia kuwa ni security feature files ambazo sio zako na zilikuwa saved kwenye desktop na my document huwezi kuziona. So inawezekana anshindwa kuziona sababu jamaa kalogon kwa user name nyingine na sio administrator. So jaribu ulog kwenye mashine kama user name aministrator.
Kama sio hivyo basi kama walimshauri mdau inawezeana ni kirusi
tafuta ubuntu Cd au linux yeyote na u boot kutoka humo. Utaona kila kitu. Kabla ya hapo download malwarebyte ufanye full scanning (kumbuka ku update), baada ya hapo weka avast, update na ufanye 'boot schedule scanning'. Then boot ktk ubuntu na ubadili attribut za mafaili na makabrasha kwa ku untick hidden!
Mkuu nimejaribu matokeo yamekuwa haya hapa chini(Mod nisaidie kuikuza hiyo picha)
View attachment 44806
Nenda kwenye command prompt then type as follows
C:\>ATTRIB -R -A -S -H -I \S \D \L (then Enter)
ingekuwa ni account nyingine anavyo search asingeyaona kabisa
Nenda kwenye command prompt then type as follows
C:\>ATTRIB -R -A -S -H -I \S \D \L (then Enter)
sidhani kama hii ipo correct.
\s na \d zinatumika kwa wakati mmoja?
na I ni attribute gani?
Kumbuka upo C kama una include all folders and subfolders inabidi kurudisha attributes kama +R na +S for System files.
tuelimishe kidogo hapo mkuu
Matokeo haya hapaSamahani nimekupoteza kidogo.
ukifungua cmd ikiwa kama hapo C:\>
type Documents and Settings\Administrator\Desktop then press enter
itakuja C:\Documents and Settings\Administrator\Desktop> hapo type attrib then enter
tuma hiyo screenshot yake, kama fails zipo zitaonekana hapo.
tumia combofix ikishindikana nitafute pressdown@hotmail.com