Niuzie mkuu, uko wapi nijibu kwa 0629298812Mbona 80gb n ndogo xna mm Nina 360gb nauza 150
Ni chogoo zile za zamani amaMbona 80gb n ndogo xna mm Nina 360gb nauza 150
Specification nyingine mbona haujasema? Computer sio harddisk tu mkuu
Post kupatana tangazo lako utauza fasta..