Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800.
CPU bado ipo katika hali nzuri,
niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya kuanguka.
Ukinunua CPU nakupa Keyboard, mouse na cable zake zote bure.
Bei ni laki mbili tu.
CPU ipo Dar; Tabata Kinyerezi.