Uzoefu mnaangalia wa muda gani?Computer application job Tsh 110,000 per month we also provide transport cost from home to office and breakfast. Applicant must posses certificate or diploma in business administration or certificate in computer application . Send your CV to email chiefcengineer@gmail.com deadline 10/05/2018
Ni vizuri kama mngeweka namba ya Wasap pia.. Au ya simComputer application job Tsh 110,000 per month we also provide transport cost from home to office and breakfast. Applicant must posses certificate or diploma in business administration or certificate in computer application . Send your CV to email chiefcengineer@gmail.com deadline 10/05/2018
Hahahahahahahahahaha kaona watu wana njaa sanaaaaa siku hizi.Tsh 110,000 per month!!!!!!???????????
Wewe si umeweka uzi kwamba soon unakufa sasa matangazo ya kazi we ya niniNi vizuri kama mngeweka namba ya Wasap pia.. Au ya sim
Si kwa ajili yangu kwa ajili ya wengine watakao ona uzi huu...Wewe si umeweka uzi kwamba soon unakufa sasa matangazo ya kazi we ya nini
Huyo jamaa ni chizi sanaaa,,mimi hata sijamuelewa mara anaomba kazi wakati soon kasema anataka kufa.Wewe si umeweka uzi kwamba soon unakufa sasa matangazo ya kazi we ya nini
HahahahaHuyo jamaa ni chizi sanaaa,,mimi hata sijamuelewa mara anaomba kazi wakati soon kasema anataka kufa.
Ningekuwa Mods mimi ningempga ban ya maisha/lifetime ban.
Daaah!Nimesoma Education Ila Nina Cheti cha Computer!Naruhusiwa Kuomba??Nipo Nipo Tu Home Natoa Macho Sina Kazi!Nipo dodoma Ambapo CAG Alileta Ripoti Eti 1.5 trillioni HaionekaniComputer application job Tsh 110,000 per month we also provide transport cost from home to office and breakfast. Applicant must posses certificate or diploma in business administration or certificate in computer application . Send your CV to email chiefcengineer@gmail.com deadline 10/05/2018
Hahahahahaha mkuu naona ungekuwa na kombora ungelipua mtu eti???Daaah!Nimesoma Education Ila Nina Cheti cha Computer!Naruhusiwa Kuomba??Nipo Nipo Tu Home Natoa Macho Sina Kazi!Nipo dodoma Ambapo CAG Alileta Ripoti Eti 1.5 trillioni Haionekani
Daah Bora Kuuliza Kama!Maana Izi Qualifications Ndio Zinazotukosesha Ajira!Ualimu Na Computer Application Wapi Na wapi Japo computer Kutumia tunaweza Sana TuuHahahahahaha mkuu naona ungekuwa na kombora ungelipua mtu eti???
Omba tu mkuu natumaini utapata fasta tu.
Wewe ndo unaomba kazi au unatangaza kazi watu waombe ? Kama unatangaza kazi, unawezaje kumlipa TZs 110,000/= mtu mwenye Astashahada au Shahada ?Computer application job Tsh 110,000 per month we also provide transport cost from home to office and breakfast. Applicant must posses certificate or diploma in business administration or certificate in computer application . Send your CV to email chiefcengineer@gmail.com deadline 10/05/2018
Yaaaaani hatari tupu aiseee,,hapa tunawatu wanamenya viazi vya kupikia chips kila siku wanalipwa 10,000/= per month ni kama laki 300,000/= huyu kakaa tu basi afu huyo ambaye kahaangaika kusoma unamlipa 110,000/= wewe utakuwa dalali sio bureee.Wewe ndo unaomba kazi au unatangaza kazi watu waombe ? Kama unatangaza kazi, unawezaje kumlipa TZs 110,000/= mtu mwenye Astashahada au Shahada ?
Computer application job Tsh 110,000 per month we also provide transport cost from home to office and breakfast. Applicant must posses certificate or diploma in business administration or certificate in computer application . Send your CV to email chiefcengineer@gmail.com deadline 10/05/2018