Mjasiriamali M
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 142
- 69
Habari za leo wadau. Nnauza Computer za P 4. Mbili zina monitor za flat sceen inch 17, na mbili zina monitor za CRT inch 17. HARD DISK ni 40 GB kwa Computer 3 na Moja ina 8OGB. 3 kati ya hizo zina DVD ROM na DVD WRITER. Kama mtu atazichukua zote kwa mkupupua akinipa laki 8 ntashukuru. Kwa Ujumla nna Ofisi iliyokamilika ya Kuchezesha Computer Games, Library na Stationeries kidogo. ila Nataka Kuiuza kwa sababu nna hamia Dar Siku za hivi karibuni. Kama utahitaji chochote unaweza ni P.M Tukaongea vizuri.