Tangu aingie Madarakani mtumbuaji mkuu amekuwa aki-exert pressure bila kuachia hata kidogo watu waji-adjust! kama vile compressor isiyo na relief valve ambayo yaweza kusababisha mtungi kupasuka kwa pressure kuwa kubwa.
Rais wangu Mh. JPM tumeishakuelewa unataka nini, tupe muda sasa tiji-adjust kulingana na unavyotaka tuwe. Sema tu " Natoa miezi 3 kilamtu arekebishe figisufigisu zake kulingana na sheri, kanuni na taratibu, baada ya hapo ni kibano. Hii itasaidia wafanyakazi na wafanya biashara kuendesha shughuli zao bila woga. Vinginevo mtaua wengi. Nasikia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Simiyu aliposikia Bwana Majaliwa anenda huko, akaachia roho!.