community shield: Crystal Palace wawazima Liverpool Wembley

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,131
Liverpool imeshindwa kufuruka mbele ya Crystal Palace katika mchezo wa fainali ya Community Shield uliopigwa leo Wembley, baada ya sare ya 2–2 ndani ya dakika 90 na kupoteza kwa mikwaju ya penati 3–2.

Palace walipata mabao kupitia Jean-Philippe Mateta na Ismaila Sarr, huku Liverpool wakifunga kupitia Hugo Ekitike na Mohamed Salah. Katika penati, Palace walinyakua taji baada ya Justin Devenny kufunga mkwaju wa ushindi, huku Salah, Mac Allister na Harvey Elliott wakikosa.
381841928.jpg
 
Tutafute jina la penalty ya mwisho ya palece
 
Back
Top Bottom