COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT (CED)

COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT (CED)

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
856
Reaction score
989
Viongozi tusaidiane hapa
Nimepiga hii course pale Kilimanjaro ,Moshi cooperative University (MOCU )
Nimemaliza mwaka huu then nasubiri final results hapa.
Ila kuja hapa ni kutaka kupata mawanda mapana juu ya course hiyo
Kwanza mnisaidie kujua
Nijiweke angle ipi ya ajira?
Niwe based kweny ajira za namna gan?
Pia hata kama ni volunteering nijiweke katika sehem zipi?
Nafaham wazi hii course itanitaka kuitumikia jamii kwa asilimia kubwa,ila jamio ni pana mnoooo!!!
Karibuni
 
Kuwa social worker
 
Kabla hujaisoma uli plan kujiweka wapi?
 
Umesoma 3 yrs hujui hata unataka kuwa nani?
 
Back
Top Bottom