Wanajamvini ndugu yangu anahitaji msaada wenu,,,ana division 4 ya D 5 kidato cha nne na ana diploma ya community development sasa anahitaji kujua kama anaweza kujinga na degree ya sheria,,,kama ndyo ni chuo gan?
Sawa mkuu,,,lkn kama una ufahamu kuhusu hilo ungenifafanulia ili kijana asipate tabu baadae na ajue atakachokuja kufanya mbeleni
Alisoma wap iyo diploma ya community development naomba unijuze mkuuWanajamvini ndugu yangu anahitaji msaada wenu,,,ana division 4 ya D 5 kidato cha nne na ana diploma ya community development sasa anahitaji kujua kama anaweza kujinga na degree ya sheria,,,kama ndyo ni chuo gan?