Njia nzuri ni kutengeneza tovuti na kuitangaza mkuu halafu kingine jitahidi sana kuandika makala na uchambuzi wa masuala haya chini unaweza mawasiliano yako hiyo ni njia nyingine pia ya kutengeneza wateja na kupata washirika zaidi
hapana , office itafunguliwa rasmi karibu na njia pandaya chuo. bado tunarekebisha mambo ya TIN na other legal procedures za kuanzisha office. piajina litakuja very soon ,tunasubiri results kutoka Brela.
asante