M MOREMI2006 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 551 Reaction score 549 Jul 26, 2022 #41 juma mpemba said: Kama una nia nitafute upate line ya uwakala mkuu(ya kununua)...ule maisha..ingawa inahitaji uwe na mtaji mzuri especially kwa mji kama korogwe Click to expand... Line ya wakala mkuu mitandao gani Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
juma mpemba said: Kama una nia nitafute upate line ya uwakala mkuu(ya kununua)...ule maisha..ingawa inahitaji uwe na mtaji mzuri especially kwa mji kama korogwe Click to expand... Line ya wakala mkuu mitandao gani Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,189 Jul 26, 2022 #42 minah33 said: Naomba muongozo nataka kuanza hii biashara ya i wakala Click to expand... Karibu kundini, unahitaji muongozo gani?
minah33 said: Naomba muongozo nataka kuanza hii biashara ya i wakala Click to expand... Karibu kundini, unahitaji muongozo gani?
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,862 Reaction score 8,511 Jul 26, 2022 #43 MOREMI2006 said: Line ya wakala mkuu mitandao gani Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Voda
MOREMI2006 said: Line ya wakala mkuu mitandao gani Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Voda
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Jul 27, 2022 #44 juma mpemba said: Voda Click to expand... Shs ngap
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,862 Reaction score 8,511 Jul 28, 2022 #45 rich1 said: Shs ngap Click to expand... Laki 3 na aslimia 20 % ya commission utakayokua unapata kwenye KilA unachoingiza KilA mwezi...maana unapewa kitoto cha laini kuu ya super agency...
rich1 said: Shs ngap Click to expand... Laki 3 na aslimia 20 % ya commission utakayokua unapata kwenye KilA unachoingiza KilA mwezi...maana unapewa kitoto cha laini kuu ya super agency...
M minah33 New Member Joined Jul 25, 2022 Posts 4 Reaction score 2 Aug 4, 2022 #46 King Sae said: Uwakala level gani? Na upo eneo gani? Click to expand... Nipo mbagala…kutuma pesa kupitia mitandao na ile ya kutumia bank
King Sae said: Uwakala level gani? Na upo eneo gani? Click to expand... Nipo mbagala…kutuma pesa kupitia mitandao na ile ya kutumia bank
King Sae JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 3,890 Reaction score 7,679 Aug 4, 2022 #47 minah33 said: Nipo mbagala…kutuma pesa kupitia mitandao na ile ya kutumia bank Click to expand... Jitaidi mtaji uwe na angalau ml 5 kwa maana ukiwa na laini nne za uwakala unaziweke float kila laini ml 1…na cash mkononi ubaki nayo 1ml…kama utakuwa na machine za kibank jitaidi uongeze mtaji
minah33 said: Nipo mbagala…kutuma pesa kupitia mitandao na ile ya kutumia bank Click to expand... Jitaidi mtaji uwe na angalau ml 5 kwa maana ukiwa na laini nne za uwakala unaziweke float kila laini ml 1…na cash mkononi ubaki nayo 1ml…kama utakuwa na machine za kibank jitaidi uongeze mtaji
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,581 Reaction score 7,231 Aug 5, 2022 #48 juma mpemba said: Kama una nia nitafute upate line ya uwakala mkuu(ya kununua)...ule maisha..ingawa inahitaji uwe na mtaji mzuri especially kwa mji kama korogwe Click to expand... Fafanua vizuri tujue ... Tofauti ya hizi laini, faida unapataje, namna ya kupata nk. Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
juma mpemba said: Kama una nia nitafute upate line ya uwakala mkuu(ya kununua)...ule maisha..ingawa inahitaji uwe na mtaji mzuri especially kwa mji kama korogwe Click to expand... Fafanua vizuri tujue ... Tofauti ya hizi laini, faida unapataje, namna ya kupata nk. Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app