Commerce, Book Keeping, Maths Review Classes

Joined
Sep 10, 2016
Posts
63
Reaction score
170
Preparation for the 2016 National Form Four Examinations for business studies begin saturday October 1st, 2016 at EABMTI offices Msasani Peninsular. We will conduct review classes for Commerce, Book Keeping and Maths past papers for the last five years, 2015, 2014, 2013, 2012 and 2011. The Weekend program is for Saturdays 09:00 - 12:00hrs hrs. Wanafunzi wa secondary, repeaters na QT wa masomo ya biashara mnakaribishwa. Its a very serious program for serious students only. call for registration and further information 0717190856.
 
Sawa! Ngoja niwajulishe wahusika
Thanks, nilazima tufanye kila tuwezalo katika kuwaandaa Vijana wa kitanzania kupambana katika Soko huria la Ajira. Tumeshaanza kwa shule Za Kata demonstration ya Mtakuja Kunduchi beach secondary school, tayari tumeona positive indicators, for 5 weeks now performance imepanda sana kwenye hii mitihani ya Mwisho wa wiki. tuna expand ku allow wanafunzi wa Shule nyingine kushiriki
 
Good idea, je kuna malipo yoyote yale?
Kwa wale wa Shule Za Kata tunakutana pale Mtakuja kila Jumamosi Mchana hakuna malipo, ila Kwa hawa wa Shule zingine kuna malipo Kidogo ya 50,000/- Kwa paper moja Kwa miaka mitano, iliyopita including usimamizi wa mitihani, kusahihishiwa ili kupimwa Na Kupitia Kwa pamoja Na Mwalimu wa somo suggested solution Kama zilivyotumika kwenye usahihishaji halisi wa mitihani hiyo. Kama unavyoona ni Kama t.shs 10,000/- only per week Kwa masaa matatu ya kufanya mtihani Na contact ya walimu mahiri Kwa karibu siku nzima
 
With due respect madam, review classes zinamuandaa kijana kufaulu mtihani? Au kupambana katika soko la ajira kwa kuwa na uelewa mpana?
 
With due respect madam, review classes zinamuandaa kijana kufaulu mtihani? Au kupambana katika soko la ajira kwa kuwa na uelewa mpana?
Hakuna short cut, lazima awe the best in whatever anachofanya, atakapoandaliwa na kufaulu vyema masoma atakua na nafasi Kubwa zaidi ya kufaulu maisha. Ni asilimia ndogo sana, wanasema ni wachache sana wanaofeli Shule wanapata Nafasi ya pili ya kutengeneza Tena. Hii ni General law Kwa sisi tusiosubiria miujiza pekee. Siamini Kuwa huoni uhusiano wa moja Kwa moja Kati ya kufaulu vizuri masono ya biashara na Soko la Ajira la Tanzania hii Kabla haijawahi ya viwanda ba sayansi pekee. You may have many years of making a difference if you allow others to make use of our effort maana najua you are not one of them. Tanzania ya watu wenye constructive contributions in discussions inawezekana. Asante Kwa your comment!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…