U utali JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 730 Reaction score 569 Jan 3, 2016 #21 micaely michael said: Kama kutoa ni moyo jua kwamba kujumlisha ni figo.!!!! @ebu toa kali zaidi ya hii. Click to expand... Na kuzidisha ni kalio
micaely michael said: Kama kutoa ni moyo jua kwamba kujumlisha ni figo.!!!! @ebu toa kali zaidi ya hii. Click to expand... Na kuzidisha ni kalio
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,886 Reaction score 185,297 Jan 3, 2016 #22 Kama pesa hazioteshwi mtini, kwa nini mabenki yana matawi.
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,301 Jan 3, 2016 #23 Kibo10 said: We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni. Click to expand... Rudia kusoma comment yake tadhari.
Kibo10 said: We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni. Click to expand... Rudia kusoma comment yake tadhari.
C Chabo JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 1,098 Reaction score 1,174 Jan 3, 2016 #24 Tembo hajifichi kwenye shamba la matembele
TADPOLE JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 3,139 Reaction score 10,371 Jan 3, 2016 #25 ya leo kali kinyonga kaolewa
mkwepu jr JF-Expert Member Joined Apr 20, 2014 Posts 558 Reaction score 1,028 Jan 4, 2016 #26 Inakuwa sawasawa na moyo figo
dashi gonn kapa Member Joined Jan 3, 2016 Posts 20 Reaction score 2 Jan 7, 2016 #27 Hata nisipo kua na chakukomenti kucheka ni mb zangu tu hapa
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,158 Reaction score 1,873 Jan 7, 2016 #28 Style zote zitapita ila style ya kunya ni ileile
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,158 Reaction score 1,873 Jan 7, 2016 #29 Acha waisome namba eeeeh! CCM mbele kwa mbele!
mbinde JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 801 Reaction score 652 Jan 7, 2016 #30 Punda hajasoma ila hakosi kazi.
Mbalamwezi1 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 2,073 Reaction score 2,026 Jan 7, 2016 #31 BansenBurner said: Hata uwe na vurugu vipi wakati wa kujisaidi lazima utulie Click to expand... Tah teh tih toh tuh uuuu!!
BansenBurner said: Hata uwe na vurugu vipi wakati wa kujisaidi lazima utulie Click to expand... Tah teh tih toh tuh uuuu!!
kalimaksi Senior Member Joined Aug 18, 2014 Posts 126 Reaction score 21 Jan 7, 2016 #32 Ujinga ni kusmile wakati unapiga x ray ili ikitoka itoke unatabasamu
B benlouren Senior Member Joined Nov 16, 2015 Posts 120 Reaction score 59 Jan 10, 2016 #33 unakataa tembele unahela ya nyama???
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,880 Jan 10, 2016 #34 Unaota kuendesha Hummer akati umelala njaa na kusoma hujasoma!
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,711 Reaction score 40,361 Jan 10, 2016 #35 Yangu hii hapa nimeitoa kwenye boda yangu
Mbushuu JF-Expert Member Joined Aug 3, 2011 Posts 2,180 Reaction score 3,419 Jan 10, 2016 #36 Ukimuona kuku kwa mganga jua kaponzwa na rangi yake
chichiboy1 JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 1,396 Reaction score 1,887 Jan 10, 2016 #37 Ukiona choo ndotoni ujue ni mtego usikitumie
Mwingwa Member Joined Dec 19, 2015 Posts 7 Reaction score 2 Jan 10, 2016 #38 chichiboy1 said: Ukiona choo ndotoni ujue ni mtego usikitumie Click to expand... Mkuu, Unanimaliza Mbavu Zangu !!
chichiboy1 said: Ukiona choo ndotoni ujue ni mtego usikitumie Click to expand... Mkuu, Unanimaliza Mbavu Zangu !!
Trueboy Member Joined Jul 9, 2012 Posts 98 Reaction score 72 Jan 11, 2016 #39 Copied somewhere "Dar joto yaani mpaka nimeingiza mkono mfukoni kutoa buku nakuta Nyerere kavua shati"
Copied somewhere "Dar joto yaani mpaka nimeingiza mkono mfukoni kutoa buku nakuta Nyerere kavua shati"
Nje ya Mada JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,399 Reaction score 491 Jan 11, 2016 #40 Kipi kikuchekeshacho!?