micaely michael Member Joined Jul 31, 2015 Posts 85 Reaction score 9 Dec 15, 2015 #1 Kama kutoa ni moyo jua kwamba kujumlisha ni figo.!!!! @ebu toa kali zaidi ya hii.
Kim Il Kwon JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,219 Reaction score 1,036 Dec 17, 2015 #3 Nelly boy said: Mi sina cha kuandik Click to expand... na hicho? acha ulongo
S Sanyenge Willson Member Joined Sep 28, 2013 Posts 23 Reaction score 1 Dec 18, 2015 #4 Napita Tu Nitarudi Badae
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,249 Reaction score 3,070 Dec 20, 2015 #6 Chapakazi Utembelee Gari mjini Usichapemapenzi Utatembelea Vtuo Vya Afya. Wasanii Wetu Wote wa Bongo Flavour Wana 'VVU' ..(Vina Vikali Usipime) Kama Vipi Bisha
Chapakazi Utembelee Gari mjini Usichapemapenzi Utatembelea Vtuo Vya Afya. Wasanii Wetu Wote wa Bongo Flavour Wana 'VVU' ..(Vina Vikali Usipime) Kama Vipi Bisha
Ah Os Member Joined Dec 12, 2015 Posts 15 Reaction score 8 Dec 20, 2015 #7 Kaa ukijua vyombo vya habari havioshwi.
Kgothalo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 8,491 Reaction score 46,839 Dec 23, 2015 #8 sio kila ndoa huanza na "will you marry me?" zingine huanza na "nina mimba yako" . kama mapenzi ni pesa basi funga ndoa na benki.
sio kila ndoa huanza na "will you marry me?" zingine huanza na "nina mimba yako" . kama mapenzi ni pesa basi funga ndoa na benki.
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,832 Reaction score 4,627 Dec 23, 2015 #9 Ah Os said: Kaa ukijua vyombo vya habari havioshwi. Click to expand... Sasa mkuu hii kali
mkatagogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 229 Reaction score 45 Dec 23, 2015 #10 Hata uwe bishoo au sista duh wa hatari namna gani chooni Ni pa wote ila tofauti namna ya kujikamua huo mzigo
Hata uwe bishoo au sista duh wa hatari namna gani chooni Ni pa wote ila tofauti namna ya kujikamua huo mzigo
Njopino JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 3,468 Reaction score 5,070 Jan 2, 2016 #11 Daa nimecheka sana
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,779 Jan 2, 2016 #12 Hata uwe na vurugu vipi wakati wa kujisaidi lazima utulie
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,748 Reaction score 2,038 Jan 2, 2016 #13 Kama unaumia vaa uondoke
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,779 Jan 2, 2016 #14 vitungu ,nyanya , carot navyo ni viungo lakini havipangwi kwenye match. Hata habari ziwe moto moto kiasi gani haziwezi kuunguza gazeti.
vitungu ,nyanya , carot navyo ni viungo lakini havipangwi kwenye match. Hata habari ziwe moto moto kiasi gani haziwezi kuunguza gazeti.
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Jan 2, 2016 #15 Upepo hata uwe mkali vipi hauwezi kukata kiuno.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jan 2, 2016 #16 Ngarna said: Upepo hata uwe mkali vipi hauwezi kukata kiuno. Click to expand... We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni.
Ngarna said: Upepo hata uwe mkali vipi hauwezi kukata kiuno. Click to expand... We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni.
Jipu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 2,695 Reaction score 5,534 Jan 2, 2016 #17 Ukitaka kujua umuhimu wa makalio kalia kichwa
Manjeta JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 393 Reaction score 239 Jan 2, 2016 #18 Uongo wa mganga ndo nafuu ya mgonjwa.
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,367 Jan 3, 2016 #19 BansenBurner said: Hata uwe na vurugu vipi wakati wa kujisaidi lazima utulie Click to expand... Pumba made in pumbakistan
BansenBurner said: Hata uwe na vurugu vipi wakati wa kujisaidi lazima utulie Click to expand... Pumba made in pumbakistan
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Jan 3, 2016 #20 Kibo10 said: We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni. Click to expand... Kimbunga kinazunguka hakikati kiuno. Mkuu najua unajua tofauti ya kuzunguka na kukata kiuno.
Kibo10 said: We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni. Click to expand... Kimbunga kinazunguka hakikati kiuno. Mkuu najua unajua tofauti ya kuzunguka na kukata kiuno.