Commander in Chief of M23

wewe ni mtutsi unaishi hapa bongo kama upo pasadena mbona unaulizia picha ya nyumba inayouzwa manzese!!!!
Manzese my azz na wala sioni tatizo la mtu kuishi manzese ni choice tuu,na kama unaongelea swali la picha ya nyumba kule business section, aim was to make him/her more clear kwa faida ya wote,and yes I live in Pasadena ...you got problem with that?
 
Nadhani Kagame huu msemo ulimpitia mbali " when you aim a shot at a King, make sure that you kill him" sasa yeye ali aim a shot kwetu halafu akamiss, what a terrible miss and it will cost him dearly...

King wetu JK aliyebakiza 2.3years kustaafu, tayari ametowa msamaha. Ila asalimishe silaha yake na atubu. La sivyo tunatembeza Vyuma kama enzi zileee!.....
 
Anajisifu uchumi unakuwa kumbe anapora na kwa wengine inaelekea ameanza kuichafua DRC muda mrefu

Ujenzi waKigali uantegemea rasilimali wa Wakongomani, sasa kimeanza kunuka yangu macho?
 
ukweli unawauma....na Congo lazima tuwatimue,sijui mtaishi vp...si anzeni kujiuliza mtaishije baada ya hapo?,Congo sisi inatuhusu ndo manaa tumekwenda huko,lazima muondoke,
 
Debate kuhusu DRC and M23 imejaa watu ambao hawaelewi anything...anything,i mean zero understanding.

Hata mi naliona. Inawezekana kabisa Kageme hahusiki na wala hakuwa na mpango. Mi nadhani hao wanaojifanya wanalipwa au kuna intarahamwe nyuma yake. Namshauri kagame awe strong, aimarishe jeshi lake na ikiwezekana avunje mahusiano na nchi za magharibi including usa aende russia na china.
 


China wangemuhitaji kama ana mkono DRC, mrija wa DRC ukishakatwa hakuna taifa linalomuhitaji.Siku hizi urafiki wa maskini na tajiri unategemea rasirimali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…