jamani mimi nikiscan simu( ni adroid) hii program ya com.android.wifi.sta huwa inakuwa detected as a Trojan,, naombeni mnieleweshe kwa nini inakuwa hivyo ukizingatia hiyo program huwa inakuwa installed toka kiwandani simu ilikotengenezwa,,,
na je nichukue hatua gani hapo?