Colonel Mamadou Ndala, DRC’s warrior leader

Kuna ukweli kwenye maelezo yako, huo mzozo wa Drc una Siri nyingi mno ndani yake.
 
Niliiona hii. Aliniuma sana huyu na jinsi walivyomuua. Mkuu wanadamu watapata shida na kuona aibu sana katika siku ile ya kuhukumu siri za wanadamu. Katika siku ile ya kukutana njiapanda, katika siku ile kukusanyika mbele ya kiti cha Enzi cha Mungu. Watu wanawafanyia wengine mambo mabaya na maovu sana. Mwanadamu ni udongo tunajisahau tu kuwa tunapita juu ya uso wa nchi.
 
Aisee Colonel Mamadou Ndala was more than a commander kifo chake ukitazama wale soldiers wakiwa wanalia ndo utajua alikua mtu wa namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…