tonylast
Member
- Jun 26, 2019
- 70
- 47
Hellw guys..
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea na harakati za kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja kwenye point tarehe 18 NACTE walifungua dirisha kwa wanafunzi wanaobadili funi za kusomea na wale wanaohama chuo kimoja kwenda kingine.
Lakn nmejarbu kufanya online transfer ukifika stage ya nne ya kuchagua chuo na kuambanisha barua pepe inaonesha vyuo vimejaa na wakati ukimpigia msajili wa chuo anakwambia bado nafasi zipo
Sasa cjajua kama ni kwangu tu au hata na kwa wadau wengine ambao tupo kwenye aina hii ya mfumo
Tafadhali naombeni msaada kama utawiwa kusaidia au kama una ufahamu juu ya swala hilo
NB:kama haujui chochote ni vyema ukasoma tu thread then ukapita mkuu
Kwa mwenye msaada tafadhali mana dirisha linafungwa Nov1 mwaka huu..