Haya ni mahigizo hakuna cha Waasi wa Uganda wala nini, hizi ni mbinu za Mseveni na Mwenzake; hapa wanajitia kusema ni waasi wa Uganda wa dini ya Kislaam wanayesema hayo ili Uganda ipate support kutoka nchi za magharibi kwamba Al-shaabab na Al-Queda wako nchini Congo kupinga Serikali yake na PK! Kwa hiyo vita ndani ya Congo vikiendelea basi nchi ya magharibi zitakaa kimya ili M7 na PK waweze ku-deal na imaginary Al-shaabab na Al-Queda. M7 na PK wana mbinu nyingi sana za kutaka kuendelea mugogoro nani ya DRC kwa manufaa yao, don't U underrate them. Kifo cha Col Mamadou Ndala kimenisikitisha sana.