Mkuu ile ngoma ya pig black ambayo beat yake alikuwa anaitumia Mr MVP yule wa wasafi katika kile kipindi cha the playlist cha youtube enzi hizo, hiyo ngoma inaitwaje?
Mkuu ile ngoma ya pig black ambayo beat yake alikuwa anaitumia Mr MVP yule wa wasafi katika kile kipindi cha the playlist cha youtube enzi hizo, hiyo ngoma inaitwaje?
"Lini uta-retire uje kuuza mitumba lango,
Una Roho mbaya Hadi leo hujamkumbuka Rado"
Pamoja na u star wako Ila iko siku utashuka(ndio anauliza,Lini utashuka urudi kuuza mitumba lango{kazi yake ya zamani}
Una Roho mbaya hadi leo hujamkumbuka rado(mwamba walie hustle nae kabla ya kuwa star na kum bwaga baada ya ustar)