Karibu mafuta mwali ya Nazi, kwa utunzaji wa ngozi na kuipa unyevu muda mwingi, mafuta haya ni mazuri kwa ngozi na nywele, wanaitumia watoto na wakubwa, wanawake na wanaume.
Yana mchanganyiko wa mafuta ya Nazi, vitamin E na shea butter ili kuipa ngozi yako nuru na unyevu muda mwingi
Yanapatikana kwa TSH. 10,000 tu 280g
Tunapatikana gongo la mboto tunafanya delivery popote
Yanafanya unakuwa na ngozi yenye unyevu muda mwingi Sana
Yanalainisha ngozi
Yanafanya nywele iwe laini na kung'aza pia
Ukitumia mafuta haya sahau tatizo la kupauka,michirizi,harara
Yanatumiwa kwa watoto na wakubwa
Bei
150g
5000
300g
10,000
500g
18,000
Tunapatikana Ukonga,tunafanya delivery mpaka mlangoni