cocochanel wewe ndo mzurimie ulichange ID? Na kama ni kweli je nikitu gan kilikufanya ubadili ID yako?Napenda kumshukuru Mola kwa malezi niliyopewa katika kufundishwa mengi pia ya maishani na kuaminiwa na wazazi kuwa akili tulibarikiwa wote.. ni furaha sana kwangu.
Hii kitu nataka sana niipitishe kwa wanangu na kuhakikisha wao na cousins wao nao wanakuja kuacha mengi mazuri.
Hapa mfano mmoja ni sisi kuwa na marafiki wa kifamilia na kuheshimiana nao hadi leo hii kuishi vizuri katika shida na raha.. na wengine kwenye jamii na kutokuwa na maringo yotote ukibarikiwa au lolote kuishi vizuri na watu ambao huwezi kuona tofauti yangu kwao labda ujue. Na kuwaachia ya kuweza kujimudu mwenyewe kimaisha na kutokuwa mvivu na kujiamini kuanzia kwenye masomo, kikazi, kutokuwa na tamaa, kujali kujijengea jina kikazi na kibiashara bila kupitia mikato isiyo na maana na yakukushusha.
Bila kusahau kushindana na wanaume kwenye masomo kutafuta maksi za juu.. ha ha haaaaa niliwapa umiza vichwa.. kujiamini na kutokuogopa mtu huku ukiwa na heshima pia.
Cocochanel mimi nina maswali kadhaa...(kama yameshajibiwa utanitaarifu)Napenda kumshukuru Mola kwa malezi niliyopewa katika kufundishwa mengi pia ya maishani na kuaminiwa na wazazi kuwa akili tulibarikiwa wote.. ni furaha sana kwangu.
Hii kitu nataka sana niipitishe kwa wanangu na kuhakikisha wao na cousins wao nao wanakuja kuacha mengi mazuri.
Hapa mfano mmoja ni sisi kuwa na marafiki wa kifamilia na kuheshimiana nao hadi leo hii kuishi vizuri katika shida na raha.. na wengine kwenye jamii na kutokuwa na maringo yotote ukibarikiwa au lolote kuishi vizuri na watu ambao huwezi kuona tofauti yangu kwao labda ujue. Na kuwaachia ya kuweza kujimudu mwenyewe kimaisha na kutokuwa mvivu na kujiamini kuanzia kwenye masomo, kikazi, kutokuwa na tamaa, kujali kujijengea jina kikazi na kibiashara bila kupitia mikato isiyo na maana na yakukushusha.
Bila kusahau kushindana na wanaume kwenye masomo kutafuta maksi za juu.. ha ha haaaaa niliwapa umiza vichwa.. kujiamini na kutokuogopa mtu huku ukiwa na heshima pia.
Naona interviewee anazd kujidhihirisha kuwa yeye ni lemutuz
cocochanel wewe ndo mzurimie ulichange ID? Na kama ni kweli je nikitu gan kilikufanya ubadili ID yako?
Baby usishangae sana.huyu ni mwenyekiti wa villaza wa jf.Ndio maana huwa anamkubali sana bashite
Nimeelewa leo...loh!
Mimi kuna kipindi wazazi walikuwa nje ya nchi nasi kwa miaka michache. na hivyo ilikuwa ngumu sana walipotaka tusome shule za Tanzania.. nikaenda kusoma boarding school niliona kama nitashindwa kumudu na pia kwa kuishi nao mbali.. ila kwa kweli nilipokua niliwaelewa sana pamoja na kuwa na pesa za kutusomesha nje huko au nje ya ulaya n.k. hii kitu siijutii leo hii hasa baada ya kuja kusoma nchi za ulaya baadae.
Ilinifundisha mengi ya maisha na hivyo tangu sekondari hadi leo nikiwa nyumbani kwa wazazi ni kuwatembelea tu tangu warudi nchini miaka sasa.[/color=red]
Unajua ile ya kuwa independent woman[/color=green] basi hiyo najiona nimo
mkuu hata mimi sielewi naona anakopi maneno ya interviewers wengine hata ile sense ya kusoma akili inaniambia huyu mwanamama-kaka ni muongoHivi ni mimi tu ama?
Simuelewi anachoandika kwa kweli
|No hard feelings|
Mmmh!Baby usishangae sana.huyu ni mwenyekiti wa villaza wa jf.
Mi sijamuelewaEee kwanini unauliza
daktari wako wa mirembe anasema urudi ukamalizie dawa zakoNyie wote nawafahamu kutokea humu
Mnawivuuuuu wa kufwa mtu kwa watu tho mnajitahidi kuuficha na vijistori upupwu...
Ha ha haaaaaaaaaaa
Mnalalamika uongo kama vile mmelazimishwa kusoma niliyoandika
Eeeeeeeh eeeeeeeeh.. Cocochanel ni ligi ingine.. jipigeni vibao vya usoni mlie
Ha ha haaa
Sante best.Hahahaa pole
ahhahaha mkuu ni kati ya wale wakunaji wa kiparaBaby usishangae sana.huyu ni mwenyekiti wa villaza wa jf.
Mbona wewe umekuwa mtu wa kusifia kila kitu anachofanya makonda?Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.
Elimu ya juu vyuoni.
Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia na management..
Mm siwezi shangaa kwa hilo baby.ndio maana niliomba udhuru maana hichi kiumbe hakieleweki.Au alikuwa anajibu uku kaeka eaphones na mziki mkubwa?manake sio kwa majibu haya wallah!
What's this baby?