A Acha Maneno Member Joined Oct 6, 2018 Posts 54 Reaction score 112 Apr 10, 2025 #1 Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama?
Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama?
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,288 Apr 10, 2025 #2 Watu wa pwani acheni ushamba,mnaogeleaje baharini maji mabaya hayo
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,576 Reaction score 29,706 Apr 10, 2025 #3 ACHA MANENO
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,564 Apr 10, 2025 #4 Acha Maneno said: Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama? Click to expand... Kuna MSIKITI hapo hapo Coco beach unaweza kuziacha humo ndani
Acha Maneno said: Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama? Click to expand... Kuna MSIKITI hapo hapo Coco beach unaweza kuziacha humo ndani
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,009 Reaction score 103,146 Apr 10, 2025 #5 Acha Maneno said: Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama? Click to expand... Unaenda na mfuko wa nailon,unaweka vitu vyako na kujifunga kiunoni.Ulinzi shirikishi.
Acha Maneno said: Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama? Click to expand... Unaenda na mfuko wa nailon,unaweka vitu vyako na kujifunga kiunoni.Ulinzi shirikishi.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,009 Reaction score 103,146 Apr 10, 2025 #6 Wagumu Tunadumu said: Watu wa pwani acheni ushamba,mnaogeleaje baharini maji mabaya hayo Click to expand... Wameambiwa yanatoa nuksi.
Wagumu Tunadumu said: Watu wa pwani acheni ushamba,mnaogeleaje baharini maji mabaya hayo Click to expand... Wameambiwa yanatoa nuksi.
S Sangamwalogesha JF-Expert Member Joined Mar 10, 2025 Posts 2,156 Reaction score 1,416 Apr 10, 2025 #7 Acha Maneno said: Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama? Click to expand... Huu upuuzi wa kuandika humu?
Acha Maneno said: Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama? Click to expand... Huu upuuzi wa kuandika humu?
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 6,060 Reaction score 22,667 Apr 10, 2025 #8 Kuna majamaa wale wanaokodisha mapira ya kuogolea, ukiwapa vitu vyako wanakuhifadhia vizuri kabisa. Tena kwa usalama zaidi, watakuhifadhia milele.
Kuna majamaa wale wanaokodisha mapira ya kuogolea, ukiwapa vitu vyako wanakuhifadhia vizuri kabisa. Tena kwa usalama zaidi, watakuhifadhia milele.