Tengeneza Njia
Senior Member
- Jul 29, 2022
- 121
- 205
Vyuma vikikaza inabidi uangalie local channels MkuuHivi huwa mnatoa wapi muda wa kuangalia channels za ajabu km hiyo? Humo huwa naona kelele tu na matangazo muda wote. Watangazaji wenyewe hawaeleweki.
chuma ya Burundi hiki hapa unazama ndani nauli kulipa ni mpaka ufike[emoji28]Hamia Burundi
Ni vumbi tu nalo litapita upepo ukitulia.Jamani ni mimi au na wenzangu mmeona hiki!
Mimi ni mdau mkubwa sana wa chaneli ya Clouds kwa muda mrefu sana, lakini naona siku na miaka inavyoenda ubora(si wa vipindi pekee) na hata muonekano wa baadhi ya vipindi vyao umedorora! Issue ni budget, kukosa creativity au ndo dalili za kukata tamaa?
Mfano, kile kipindi cha kina Kipanya cha jioni(kuna siku mara wanagombaniana Oreo za KFC na yule Harris), wageni waimbaji wanaimba nyuma ya kitambaa cheusi, yaani quality ya muonekano ni doro kwa kweli! Ni kheri tubaki tu kuwasikiliza sauti zao badala ya kuendelea kuona tunavyoviona.
Tukiwa tunalipia ving'amuzi kuangalia cheneli tunazozipenda, basi na media mjitahidi kutupa kitu kinacholingana na gharama za mteja anazolipia, plus muende na kasi ya kidigitali iliyopo!
Heeeh! ITV tena!!!??? Hiyo ndo TAKATAKA kabisa.Bora usome nyuzi za wadau humu jf kuliko kuanza kusikiliza makelele ya watangazaji wa enzi hizi, angalau ITV kiasi watangazaji wanasikilizika.
Nadhani hata watangazaji wenyewe wamebaki ki-maslai tu kwa sasa (mpunga si unaingia?) hayo mengine wanaona wawaachie BBC!Wasafi wamewapiga bao mkuu, wana tour kama ilivyokua fiesta. Wana mavipindi ya vijana wa masiku haya.
Clouds haieleweki ni channel ya siasa, michezo au burudani. Vipindi vyao hubadilika kulingana na upepo wa kisiasa wa wakati huo.
Wasafi wao wamebase kwenye michezo na burudani kama ilivyokua clouds ya late Ruge na ishu nyingine kwa mbaali ila kwa sasa siasa humo humo. Sifia sifia ya watangazaji wa clouds itakuacha kinywa wazi.
Ukiangalia kipindi cha msumari wa moto cha wasafi na kile cha kina kipanya clouds wale jamaa wanajockes za ajabu ajabu sana kazini.
Wanawakabaje Koo wkt clouds na wasafi mmiliki wake ni mmoja?Biashara ndivyo zilivyo, hasa Wasafi Tv wamewakaba koo
Basi tuseme hawa wengine wanatembelea majina na ukongwe kwenye game! creativity imelalaWanawakabaje Koo wkt clouds na wasafi mmiliki wake ni mmoja?