Smart_dady
Member
- Aug 7, 2019
- 90
- 69
Kichwa Cha jieleza Sasa
UTV
TBC
Safari Channel
Channel Ten
na Sasa Ni
ClOUDS TV
Mungu akupe nn????
View attachment 1175190
Kwa maana hazitakatwa kivuruzi kikiisha? Halafu waambie kabisa,tuwe tunalipia kadiri tunavyotumia kama umeme. Sio nimenunua leo kivuruzi,nikasafiri Tv haijatumika nikirudi baada ya mwezi wanataka tena nilipieKichwa Cha jieleza Sasa
UTV
TBC
Safari Channel
Channel Ten
na Sasa Ni
ClOUDS TV
Mungu akupe nn????
View attachment 1175190
Lipa kuapdate
VISIMBUZI VYOTE AU AZAM TU?Mwezi uliopita mwakyembe akiwa na wadau wa habari alitangaza chaneli za ndani zitaanza kuonekana kwenye ving'amuzi mda si mrefu.
Asante kwa taarifa hii muhimuKichwa Cha jieleza Sasa
UTV
TBC
Safari Channel
Channel Ten
na Sasa Ni
ClOUDS TV
Mungu akupe nn????
View attachment 1175190
umelipia bei gan mkuu kwangu bado mbonaNimelipa mkuu.. Kimeshawaka!
Bado nyingine star ya mwanaCCM na Wasafizote hizo ni televison pendwa za chama tawala...........
Kama ni kweli akiachia za ndani zote startimes wajiandae ku r.i.p yani natupaItakuwa poa sana ,hili litakuwa ni anguko la ving'amuzi vingine vyote,kweli bakharesa biashara anaijua