Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 54
- 76
Ni sababu tosha kabisa mbona.Kituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao.
Mdau Wa JF Unafikiri Sababu Hiyo Ina Mashiko Na Je Wamewatendea Haki Watazamaji Wao?
Je! Wewe ni mgeni katika nchi hii?Kituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao.
Mdau Wa JF Unafikiri Sababu Hiyo Ina Mashiko Na Je Wamewatendea Haki Watazamaji Wao?
MWENYE AKILI HAWEZI WALAUMU CLOUDZ MEDIA....INAELEWEKAKituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao.
Mdau Wa JF Unafikiri Sababu Hiyo Ina Mashiko Na Je Wamewatendea Haki Watazamaji Wao?
Ukifunga ndoa na shetani huwezi kupata nguvu ya kuhubiri habari njema za YESU KRISTUKituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao.
Mdau Wa JF Unafikiri Sababu Hiyo Ina Mashiko Na Je Wamewatendea Haki Watazamaji Wao?
Waeleze team Lumumba hizo pumba zakoHicho ni chombo binafsi cha habari,hivi mwenye mali unaweza mpangia kitu? Tuheshimu taarifa walioitoa ya udhuru kwani ingekua ya umma tungekua na hoja kulikoni tena lakini ndiyo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo La kawaida sana Kwa vyombo Vya habari hasa vinavyorusha matangazo ya moja Kwa moja..kutengua mahojiano Na MTU Fulani kutokana Na sababu hii au ile! Ulipaswa kuhoji kodi yako pale TBC inatendewa haki?!