Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,444
- 25,591
Hahaha.. We unasema macho tu, hata 'maskio' yataumia kwa kusikiliza sauti za wabana pua.. Kama hawajabana ujue wanawaiga watangazaji wa chanel zngne.. Mfano mtofautishe mshkaji wa kipindi cha clouds tv cha 20 za town (km wanavyoita) na mtangazi wa Uswazi {sijui km bdo yupo} au Planet Bongo wa EATV.. Shame on them, copy and paste people..
Nieleze kiutaalamu wamekopy vipi hiyo na kama suala la hati miliki inaelezwaje ndugu - eleza sio una kurupuka tu
Kwani wewe hujui wabongo walivyo wataalam wa ku-copy na ku-paste?. mpaka kwenye mitihani wana copy na jina. Mikataba wana-copy na ku-paste bila hata ku-edit contents......Aibu yao aibu yetuuuuu?
Picha ni mbovu, text colors zinaumiza macho. Text color yellow kwenye background nyeupe nk! Huwezi kutizama kwa muda mrefu. Nawashauri wawaulize Star Tv au East Africa Tv coz wana graphics nzuri sana. Kinachonishangaza ni kwa namna ambavyo TV hii ilivyoanza kutangazwa kwa mbwembwe tena baada ya wa2 kuwekwa stand by kwa miaka zaidi ya 5! Utafikiri inaanzishwa CNN kumbe kimeo kitupu.
Halafu ukiangalia vipindi vingi wamecopy EATv inatia kinyaaa... Clouds Tv kuweni creative mnaboa.
Haya maoni yafanyieni kazi itawasaidia.
Ila jamaa humu mnaua sana tuwasaidie wanoreshe tusiwe negative
Huyu kusaga ni Mtanzania.
Ashauriwe Katoa Ajira kibao kwa Vijana!
Wewe unaesema watafunga hawa Vijana watapewa Ajira na Nani?
Haijalishi inapatikana kupitia ki2 gani, the point is hawana mtu mzuri wa picha. Hawafahamu namna ya kupangilia rangi.
, yale maneno yao wanayopitisha kwenye screen, na animations pia zinaumiza macho sana. Unapotizama macho hayarelax, kuna tabu fulani unaipata ukitizama.
Sina utaalam wa graphics lakini ninachofahamu ni kwamba watazamaji wa Clouds TV wasipokuwa makini, soon watakuwa vipofu!