kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
DuhImefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi.
Ni muda mrefu watangazaji wamekuwa wakiendesha propaganda dhidi ya Simba na kupendelea kusoma maoni hasi na kuyapamba ili ionekane ni kweli.
Inapotokea kwa Yanga kusemwa kwa maoni hasi,utawasikia wakitoa hoja mbali mbali kujaribu kubalance maoni hayo jambo ambalo ni tofauti inapokuja suala la Simba.
Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds ambao ndio husikika pekee.
Tumeona mara nyingi magoli halali kabisa ya mechi zaidi ya tano akifungwa yanga na kukataliwa bila sababu za msingi.Ila hutawasikia clouds wanazungumzia hayo kamwe.
Suala la Morrison na ubabaishaji wa GSM lina mengi ya kujadili,ila hitakuta wanalizungumzia.Haya yangekuwa Simba ungesikia mengi sana.Tungejifunza hata taratibu za usajili kwa mujibu wa Fifa zikoje.Wangritwa wataalamu kuelezea.Ila kwa vile liko yanga,wanatafuta kila ***** ***** na upenyo wa kujaribu kuihukumu Simba.
Kwa ujumla mnani boa sana na uchambuzi wenu wa kizushi na kiswahili swahili bila kuangalia fact.
Ukiamua kuchukulia kitu negative utakiona hivyohivyo, mjifunze kuukubali ukweli, unataka kusikia simba wanakipiga kama barca wakati uwezo huo hampo nao.Imefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi.
Ni muda mrefu watangazaji wamekuwa wakiendesha propaganda dhidi ya Simba na kupendelea kusoma maoni hasi na kuyapamba ili ionekane ni kweli.
Inapotokea kwa Yanga kusemwa kwa maoni hasi,utawasikia wakitoa hoja mbali mbali kujaribu kubalance maoni hayo jambo ambalo ni tofauti inapokuja suala la Simba.
Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds ambao ndio husikika pekee.
Tumeona mara nyingi magoli halali kabisa ya mechi zaidi ya tano akifungwa yanga na kukataliwa bila sababu za msingi.Ila hutawasikia clouds wanazungumzia hayo kamwe.
Suala la Morrison na ubabaishaji wa GSM lina mengi ya kujadili,ila hitakuta wanalizungumzia.Haya yangekuwa Simba ungesikia mengi sana.Tungejifunza hata taratibu za usajili kwa mujibu wa Fifa zikoje.Wangritwa wataalamu kuelezea.Ila kwa vile liko yanga,wanatafuta kila ***** ***** na upenyo wa kujaribu kuihukumu Simba.
Kwa ujumla mnani boa sana na uchambuzi wenu wa kizushi na kiswahili swahili bila kuangalia fact.
Shida nini mkia?nilishaacha kabisa kusikiliza redia mavi. JF toshaaaa
Mzee huna bando nini? Radio zipo online unasema upo sehemu inasikika vlouds pekee!!![/QUOTE]Acha kelele mbumbumbu,ubingwa wa mbeleko si mmepewa?Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds
Taratibu mkuu! Uningwa ndio nini?Sasa we mbumbumbu unalalamika nini?uningwa si mmechukua?
Ndio tff wanavyotamkaTaratibu mkuu! Uningwa ndio nini?
Mikia ndio wanabebekea vizuri?Utopolo fc hawabebeki! Simba bingwa tenaaaa[emoji313][emoji92][emoji471][emoji471][emoji471][emoji2422][emoji2422][emoji2422]
Acha kelele mbumbumbu,ubingwa wa mbeleko si mmepewa?Mzee huna bando nini? Radio zipo online unasema upo sehemu inasikika vlouds pekee!!!
Anataka kusikia kagere ana miaka 19,nyoni 17,Wawa 13,boko 11Kachambue wewe basi. Unataka wazungumze unachokiwaza
Hivi unajielewa wewe? Sichezi disko vumbi kamwe, yaani nitoke kuangalia liver vs chelsea halafu nije kuangalia simba vs yanga? Ni matumizi mabaya ya mwili na akiliAcha kelele mbumbumbu,ubingwa wa mbeleko si mmepewa?

Bakieni na stori tumebebwa. Kombe la tatu hilo mfululizo angalieni mkicheza na mwakani tena tunalibeba mkibakia na akili mlizoachiwa na zahera visingizio weHivi unajielewa wewe? Sichezi disko vumbi kamwe, yaani nitoke kuangalia liver vs chelsea halafu nije kuangalia simba vs yanga? Ni matumizi mabaya ya mwili na akili
Hivi mbona mnajichanganya nyie? Kuna semehu nimesema mimi ni utopolo ama mbumbumbu fc?Bakieni na stori tumebebwa. Kombe la tatu hilo mfululizo angalieni mkicheza na mwakani tena tunalibeba mkibakia na akili mlizoachiwa na zahera visingizio we