Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?
Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
Kama wewe ni mtu mstrabu(kitu ambacho naamini ndivyo ulivyo)utaniomba msamaha,lkn pia kama umeenda shule na kuelimika,na kama kichwa chako hakina funza,basi utakumbuka hukumu ya kesi ya mengi dhidi ya mbunge malima bungeni juu ya Mengi kutokuzipa habari za rais kipaumbele kwenye taarifa ya habari......otherwise nahisi you are disappointment to JF thinkers kwa kudhani kuwa kila anayeshabikia chadema lazima aichukie clouds fm au kila mwana CCM lazima alipende gazeti laq uhuru.Shame on your forefathers for bringing a tabula rasa like you in this forum.After all Kibonde sio mmiliki wa ile redio ni mtanagazi tu,ameajiriwa kwa editorial policy ya redio,hawezi kufanya kinyume,kosa lake lipi?aache kazi mamako ndo atamwajiri!!!!!!!
Kaka ile kikohozi inatuliaga tu,haiponagiSorry for bringing this, laikini nia yangu msiniache mbali, Nauliza hivi Kibonde bado anaumwa kikohozi au kashapona. Once again, sorry kwa kuingilia mambo
There u r kakaWaache waendelee, kwa mtu mwenye akili timamu hatutegemeI aipende au kuichukia CHADEMA kwasababu tu kasikia CLOUDS wanaiponda CHADEMA na kuipamba CCM!
Sifa ya mnafiki ni kuficha jinsi alivyo lakini kumjua ni rahisi sana.Wewe ni CCM tu.Mbona wa ccm hutaji,umetaja cdm tu.mkuu me mwenyewe nasubilia katiba mpya..bt mkuu unajua binadam ndo walewale wenye tamaa,ubinafsi,undugu wa kupendeleana so me naona ndo wale wale CCM,CUF,CDM mfano mzuri angalia slaa kamleta mchumba ake,ndesambulo na mwanae,tundu lissu na dada ake same to CCM vlevle...wote sawa ni kama pipa na mfuniko
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?
Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
Sifa ya mnafiki ni kuficha jinsi alivyo lakini kumjua ni rahisi sana.Wewe ni CCM tu.Mbona wa ccm hutaji,umetaja cdm tu.
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?
Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
More than rubbish.......................rotttttttttttttttttttttttteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeennnnnnnnnnnRubbishhhhhh!
Kaka wasikuumize kuchwa wagonjwa hao...