Kusaga anatakiwa kumwambia Ruge achague moja, kubaki Clouds au kuendelea na mambo mengine, katika Fiesta nilikua upande wao, niliona RC analeta utoto.
Ila nimeona wanaendelea na mambo yao ya mafumbo, hivi kati ya Ruge na RC nani anaongoza kuwa KAA (Kukwamisha wenzake).. Ruge amepoteza wangapi katka game