kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Sisi wa kaswida kila baada ya mda gani?Unaongelea hizo za Tmk na Jdee siku hizi Clouds kila baada ya ngoma 3-4 inapanda gospel,,
Hizo hizo gospel Mungu ni mmojaSisi wa kaswida kila baada ya mda gani?
Taarabu ni matusi siku zote Kaka JambaziHata Hadija Kopa, kuna taarabu moja ni matusi tu, mara unaniacha kimara na upuuzi mwingine.
Kwanini wawakumbuke love??
Wasanii wa siku hz sio wabunifu kabisa kila mtu.anaimba nionyeshe alichokupa mamaMmetupumzisha na ile miziki yetu ya ngono!Nimefurahi sana kusikia mnapiga nyimbo za wasanii wengine wa zamani kama TMK,lady JD n.k
Zile nyimbo za sijui nilikagusa kakalegea,nimelowa tepe tepe,sijui ingiza yote tango,mara katika kiuno imekolea zinanikera mnoo!Na nilidhani ni mimi kwa sababu ya age ila nina biashara katika maeneo yenye wanachuo wengi nikiwapigia hizo nyimbo zinawakera sana.
Nahisi huwa hamfanyi utafiti kujua Wateja wenu wanataka nini.Ila kwa leo nawapa kongole kumbe bado kuna watu wanatumia akili sana hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ jamaniWe mwenyewe umerogwa, ungekuwa una staha usingethubutu kuandika haya uliyoyaandika...kwani ulishindwa kutumia tafsida?
Wasanii wa siku hz sio wabunifu kabisa kila mtu.anaimba nionyeshe alichokupa mama
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£We mwenyewe umerogwa, ungekuwa una staha usingethubutu kuandika haya uliyoyaandika...kwani ulishindwa kutumia tafsida?