Clouds FM utangazaji huu unakera

Na wana vipindi 7 tu kwa siku.....full matangazo siku nzima, yaani afadhali hata PB sikipendi kipindi cha sijui xxl, huwa sielewi wanaongea nini zaidi ya makelele, kipindi chao bora ni sports extra tu....


Nayenyewe shafii anakiaribu kipindi kile sio mtangazaji na mchambuzi ila ni msemaji namshabiki wa tim flan
 
Reactions: ram

Wewe mbona hueleweki sasa unamtetea mbunge au clouds fm, watu walitaka kujua nini hasa kilijili kwa undani uhovyo wa clouds ikashindikana, sasa hayo ya uccm na upinzani unayatoa wapi
 
siku hizi siwapi muda wangu kuwasikiliza. matangazo, promo, more matangazo, upuuzi and the circle starts again
 
Jana Norman kapigiwa simu na mtangazaji fulani ivi jioni akaulizwa kuhusu kashfa zinazozunguka akajibu.. 'Bora umenipigia simu maana kuna watu huwa hawaulizi ni ngumu sana kwa utawala huu kuchukua mshahara wa wafanyakazi wengine alafu akakata simu..' Ha ha ha ha dah siasa izi bana
 
Utangazaji wa hovyo umeanzia hapo clouds mgeni mualikwa anaambiwa samahani tutakuwa tukikatiza maongezi yako yaani hayo maongezi huambulii kitu zaidi ya matangazo hivi mtu ukiwa mchora katuni tanzania ni lazima uwe mtangazaji(upuuzi wa kipanya)
 
Jamani tunaomba tukubari mapungufu ya utawara wetu wamebanwa na utawara arafu uwa wanatoa muda murefu kuzungumzia mambo ya kuheremisha jamii poa wameniuz sana kumkatisha mwanasheria mkubwa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…