DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,150
hao jamaa sijui nani anawapa kiburi,kuna siku wanaamua tu wanaongelea mambo ya kunya mavi eti,kipindi cha jahazi kuna siku kibonde na huyo mzee wa kukojoza walikuwa wanaongelea ishu za kunya a.k.a kukata gogo kipindi kizimaMmemwita mtu kwenye kipindi chenu PB leo tar. 19/10/2016, (Prof. Norman Sigara ) mb. Kwa nini msimuache akasimulia tatizo lake tumsikilize badala ya kila mara ku-interfere the talk??
Inafika mahala mtangazaji unakuwa kama hiyo story unaijua in and out na mliyemwalika ni kama mmetaka tu afike kuonyesha mme balance story!
wanazingua kweli kweli, naomben freq za E FMMmemwita mtu kwenye kipindi chenu PB leo tar. 19/10/2016, (Prof. Norman Sigara ) mb. Kwa nini msimuache akasimulia tatizo lake tumsikilize badala ya kila mara ku-interfere the talk??
Inafika mahala mtangazaji unakuwa kama hiyo story unaijua in and out na mliyemwalika ni kama mmetaka tu afike kuonyesha mme balance story!
93.7wanazingua kweli kweli, naomben freq za E FM
ahsante sana mkuu, nimeipata mpaka huku kwetu pemba inagonga kumbe93.7
Hii radio huwa nasikiliza michezo saa 3 usiku basi, vipindi vingine ni majanga mambo ya utani muda wote sijui bonge nini mambo ya ajabu ajabu.
Na masaa matatu unasikiliza tu stori za kukata gogo, ili upate cha kutuhadithia?hao jamaa sijui nani anawapa kiburi,kuna siku wanaamua tu wanaongelea mambo ya kunya mavi eti,kipindi cha jahazi kuna siku kibonde na huyo mzee wa kukojoza walikuwa wanaongelea ishu za kunya a.k.a kukata gogo kipindi kizima