Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,874
- 25,805
Ndugu wananchi,Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.
Katika interview pale clouds muwe mnaweka , kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel , wenye uelewa wa i njili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole .
Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.
Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.
Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.
Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
Mmiliki na watangazaji wake wote akili mojaMwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.
Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole.
Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.
Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.
Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.
Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
Viongozi wakuu, Wasanii , Waimbaji wakubwa gospel wanafanya interview Clouds, hata yule Liwali Wa Arusha anafanyia Clouds, hao TBC ni tv ya kitu gani?Ndugu wananchi,
Fuatilieni na kutazama Television ya Taifa TBC, hamtojuta, hamtokwazika wala kulalamika kamwe 🐒
Sawa Braza Khaleed Gangana.Ndugu wananchi,
Fuatilieni na kutazama Television ya Taifa TBC, hamtojuta, hamtokwazika wala kulalamika kamwe 🐒
Sijakosea, figurative language niloweka najua , najua staha ya maneno la lugha ya picha. Kafiri analazimishwa na "mtakatifu" kujichua? umeskiza interview.Umekosea kidogo Soudy brown na huyo Mboni kafiri hapo ni mboni
Sasa wanapewaje studio kubwa namna ile?Nchi hii vilaza kila kona unategemea nini?
ukiwa na mtazamo huo hutaenda kanisani utaona ni illuminat watupu kuanzia askofu hadi wauminiKuna tofauti kati ya gospel industry na gospel ministry!
Nyie watu wa MUNGU, kuweni makini na shetani maana ananyumbulika vibaya! Ngoja muende sasa huko Mlimani city na wapi sijui kwingineko mtajionea vituko vya ajabu kwa watu watakao kuwapo pale na jinsi walivyo kimuonekano.
Ndiyo mtajua kuwa hiyo ni illuminat gospel.
✝️
Hao ndio waandishi wa kizazi kipya....Mwanamuzi, muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili Israel Mboni ametua Tanzania kufanya tamasha Mlimani City na Leaders Club.
Katika interview pale Clouds muwe mnaweka, kama ni mtu wa injili basi wale watu wa gospel, wenye uelewa wa injili na kufuatilia na ikibidi wekeni mlokole.
Sasa Sudi Brown ni "mataifa' "kafiri"na hamjui Mungu alafu anawekwa kumuuliza mtu aliyeokoka, kajikuta anauliza maswali ya ngono ambayo ndio wamezoea kuuliza wasanii.
Clip ya mahojiano hayo nimeona aibu kuipost hapa maana hata waandishi wengine watajisikia vibaya.
Kwa ujumla, mwandishi huwezi kuwa mbobezi wa kila kitu, ni sawa ni kibatala leo u mlete afanye ishu za corporate, hatoweza.
Ajiri watu wenye profession zao hata kwa mkataba wa kazi maalum.
Sitoshangaa sku mnamuhoji raisi au makamu mkaanza kumuuliza maswali kama hayo.
Kuna tofauti kati ya gospel industry na gospel ministry!