Clouds FM, matangazo ya kondomu kila baada ya dakika 5 yanakera

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,328
Reaction score
13,775
Leo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.

Kabla foleni haijaisha limerudi tena ilibidi nihamishe na kuweka redio nyingine. Mnakera kwa kweli,huko nilikobadilisha nako ndo nasikia nyimbo mpya ya Diamond sijui ukimuona jongoo shika magoti inama kidogo nyimbo imejaa matusi ilibidi niizime redio.

Redio badilikeni wasikilizaji wa redio sio makahaba tuu.
 
Kumbe condom ni kwa ajili ya makahaba. Ok
 
Mama mkwe wako anaweza kutafsiri nyimbo ya Salome km unavyotafsiri wewe??
Redio zipo nyingi lakini
 
Haya mambo ya siku hizi yako hadharani mno ni kweli wakati mwingine yanatia aibu lkn tufanyeje sasa.Maradhi ndo hayo yametapakaa kila kona na kwa desturi zetu tunaenda pekupeku basi ndo maana hata hizo kinga zinatangazwa hadharani. Ushauri ukiona tangazo hilo toka nje kana kwamba umepigiwa simu au ita mtoto akulete kitu au fanya chochote ili kuondoa hiyo attention iliyokuwepo. Vinginevyo kama ma mkwe ni bingwa komaa hivyo hivyo naye si mtu tu kipi asichokijua na umri huo.
 
Waweke yawe usiku
 
Ndio unakumbushwa hivyo...! Mama mkwe mwenyewe alishawahi kutumia ndio maana mpaka leo anadunda...!
 
gharama za hayo matangazo ndo zinazofanya redio ziweze kujiendesha
 
Watu wasipoelimishwa mnapiga kelele...

Sasa mama mkwe unataka kusema kwa party Salome ikipigwa hamtacheza....!!!!!

Una yako wewe

Ila nao fiesta ni hayo yanahitajika kutumika
 
PSI wamedesign tangazo lao kuhamasisha zaidi mgegedano. Tangazo haliongelei kabisa mambo ya STDs/AIDS. Hivi TACAIDS ilifia wapi?
 
Leo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.

Kabla foleni haijaisha limerudi tena ilibidi nihamishe na kuweka redio nyingine. Mnakera kwa kweli,huko nilikobadilisha nako ndo nasikia nyimbo mpya ya Diamond sijui ukimuona jongoo shika magoti inama kidogo nyimbo imejaa matusi ilibidi niizime redio.

Redio badilikeni wasikilizaji wa redio sio makahaba tuu.
Ukiwa dsm, redio zipo kibao. Kwa nini usigune PPR, WAPO FM, TUMAINI, na nyingine km hizo?
 
Ujinga tuu sidhani kama hao salama Kondomu wametoa pesa nyingi kiasi cha kutawala kiasi hicho Hasa wakina Kibonde ndo kabisaaa
 
Kwa binadamu bila kukumbushwa kila wakati husahau. Sasa ili watu wajilinde na kukumbuka kondom kipindi cha kujamiana hawana budi kurudia kila wakati
 
Leo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.

Kabla foleni haijaisha limerudi tena ilibidi nihamishe na kuweka redio nyingine. Mnakera kwa kweli,huko nilikobadilisha nako ndo nasikia nyimbo mpya ya Diamond sijui ukimuona jongoo shika magoti inama kidogo nyimbo imejaa matusi ilibidi niizime redio.

Redio badilikeni wasikilizaji wa redio sio makahaba tuu.
kwani kuna tatizo ndugu mbonA fresh tu na ukiona wanaboa weka praisepower au Imaan huko hayo mambo hakunagA ni mwendo wa kupeanA khabari za mbinguni.
 
Leo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.

Kabla foleni haijaisha limerudi tena ilibidi nihamishe na kuweka redio nyingine. Mnakera kwa kweli,huko nilikobadilisha nako ndo nasikia nyimbo mpya ya Diamond sijui ukimuona jongoo shika magoti inama kidogo nyimbo imejaa matusi ilibidi niizime redio.

Redio badilikeni wasikilizaji wa redio sio makahaba tuu.
Kawachape kibao , mama longtime mkulu
 
Redio za kidini zipo pia, neno la Mungu ni kinga ya uovu wote.
 
Back
Top Bottom