R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Nimesikitishwa na kipindi cha Clouds 360 kuhusu uelewa wa nchi hiii, wakati wakijadili suala la ajira wamesema
kuitwa usaili wa kwanza wiki moja, wiki mbili interview ya pili na ya Tatu wiki ya nne.
wame conclude kuwa ajira inatumia miezi miwili kukamilika kwa post moja ;
nawashauli wapitie Ajira portal watu walishaaaply zaidi ya miaka wamestore information.
kwa hiyo maombi yapo tayari kwenye database
Pili ; mitihani ya Tume ya ajira ukifanya asubuhi saa 1 watahiniwa 3500, majibu ni baada ya masaa 3
ikibidi intervie ya pili mnaweza fanya mchana na usiku matokeo yakatoka.
wawe wanadadisi habari wasiseme mawazo yao; washirikishe idara zinazo husiana na ajira
Pitia hapa watangazaji wa 360 clouds. Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)