napenda kuhuliza kama kuna uwezekana wa kupata nafasi ya masomo ya Clinical officer kwa mdodgo wangu aliye maliza shule mwaka jana 2014 na matokeo yake ni kama yafuatavyo >>>> mimi sifahamu sana kuhusu haya mambo na jee kuna jinsi anaweza kufanya kuipata hiyo CO
CIV - 'D'
HIST - 'C'
GEO - 'E'
KISW - 'C'
ENGL - 'C'
PHY - 'E'
CHEM - 'D'
BIO - 'D'
B/MATH - 'F'
ni mfumo wa GPA na jee anaweza kupata nafasi ya masomo hayo ya Clinical Officer kwa mwaka huu 2015 ........