Assistant Medical Officer...ni Advanced Diploma ya Medicine...wanaendaga form 6 amabo matokeo hayaruhusu kwenda medical school moja kwa moja au Clinical Officers baada ya Utumishi wa miaka kadhaa.....kwani wewe level gani?
mzush ww co weng nw wanasoma md IMTU KCMC na BUGANDO....AMO mara nyingi wazee hawapend kujisumbua na kusoma MD kwan huwa wanaamini wao sawa na MDSidhani kama Clinical officer anaweza kwenda Medical School moja kwa moja ila AMO ndio wanaingiaga medical School na wanaanza mwanzo kabisa(mwaka wa kwanza).....Clinical officer bado chini sana mkuu...hata form 4 failures wanaenda...piga kwanza AMO then uangalie michongo ama fanya PCB private class then fanya mtihani(hii ngumu kumesa)...Walishaongele juu ya AMO kupunguziwa miaka waendapo medical school ila bado haijapita...Good luck
Sidhani kama Clinical officer anaweza kwenda Medical School moja kwa moja ila AMO ndio wanaingiaga medical School na wanaanza mwanzo kabisa(mwaka wa kwanza).....Clinical officer bado chini sana mkuu...hata form 4 failures wanaenda...piga kwanza AMO then uangalie michongo ama fanya PCB private class then fanya mtihani(hii ngumu kumesa)...Walishaongele juu ya AMO kupunguziwa miaka waendapo medical school ila bado haijapita...Good luck
Kumbe form six wanakujaga kutubania tu! Sisi form 4Sidanganyi mkubwa labda wewe ndio ufahamu ....Diploma(Stashahada) ya udaktari ilikuwa ni ngazi ya form 4 mpaka hivi majuzi walipoamua kuongeza na form 6...ila bado form 4 mwenye ufaulu wa C katika Chemistry na Biology na D katika Physics anaweza kwenda...angalia hili tangazo la wizara halafu uniambie nani anangopa soma vizuri kipengele 3 (iii)...
holaa, napenda kujua kama kuna chuo tanzania kinapokea clinical officers kufanya medicine, na kama kipo je wanaanza mwaka wa ngapi?:sleepy::sleepy:
Vyuo vyote vya MD hapa Tanzania wanapokea clinical officers na ni kuanzia mwaka wa kwanza,mm mwenyewe ni clinical officer nimepata nafasi pale CUHAS zamani BUGANDO.holaa, napenda kujua kama kuna chuo tanzania kinapokea clinical officers kufanya medicine, na kama kipo je wanaanza mwaka wa ngapi?:sleepy::sleepy:
Vyuo vyote vya MD hapa Tanzania wanapokea clinical officers na ni kuanzia mwaka wa kwanza,mm mwenyewe ni clinical officer nimepata nafasi pale CUHAS zamani BUGANDO.
serikari ipo ktk mchakato wa kuifuta hiyo AMO mwezi wa 6 wakati nafanya application diploma MUHAS doctor 1 alituambia
sijakusoma vizuri hapo mkuu? Inaamana bachelor in clinical medicine itakuwa inautofauti na MD wanayosoma miaka 6 nakuomba unieleweshwe juu ya hilo mkuuYap ni kweli now AMO inafutwa na imeletwa Bachelor of science in clinical medicine hii ni special for clinical officers, kwa vyuo vya serikali iliyokuwa Mbeya AMO training centre imeanza mwaka huu ila private ni kama KIU na IMTU. CO anatumia miaka 2 tu kujipatia degree yake ya Clinical Medicine.
sijakusoma vizuri hapo mkuu? Inaamana bachelor in clinical medicine itakuwa inautofauti na MD wanayosoma miaka 6 nakuomba unieleweshwe juu ya hilo mkuu
Amo ilishafutwaMi nachofahamu najua co anaingia MD kawaida ila ila Cha muhimu CO awe na GP 3.5< ila CO kwenda Amo cjui vigezo na AMO imerud rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app