Clinical officer natafuta kazi

Clinical officer natafuta kazi

clarise

Member
Joined
Sep 7, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Habari wakuu,,mimi n kijana nina miaka 23 nimemaliza diploma ya utabibu (clinical officer)2017 nahitaji kazi ,especially kwenye mashirika binafsi,,kwa yoyote anaefaham anisaidie
 
Kweli mambo yamebadilika. Enzi za jk ilikua ukimaliza tu chuo ajira inafwata... Jiwe daah
 
Mimi ninachoshangaa hawa wanaomshabikia jiwe wanatokea wapi? Na kama wapo kweli je ni mapenzi ya kweli? Maana anaturudisha nyuma kwenye hali za kiuchumi za watu.
 
Mkuu fan yako n marketable sanaa ata ucjali soon tuu unapataa
 
Kesho nitakutumia no ya kituo Fulani kiko kurasini
 
Amref, mdh na wengine wanatangaza kila siku wewe uko wapi?
 
Habari wakuu,,mimi n kijana nina miaka 23 nimemaliza diploma ya utabibu (clinical officer)2017 nahitaji kazi ,especially kwenye mashirika binafsi,,kwa yoyote anaefaham anisaidie
Kwa level yako hyo siku katish tamaaa jaribu at least ungekuwa na added advntg ya monitoring & evaluation na mambo ya project planning na mangmnt hapo ingekuwa pouwa sana
 
Back
Top Bottom