Wapendwa naomba msaada kwa yyt anaefaham,Mimi nimemaliza clinical officer ,n binti nna miaka 24,nko singida natafuta Kaz kwenye hospital,NGOs,health centre au dispensary
Kuna tangazo limeliona la hospitali inaitwa Kintoka Medical Centre ipo Mbagala kama unawhatsapp ni pm nikurushie tangazo lao, wametoa nafasi kama 30 hiv za nafasi mbalimbali. Kama hauhitaji ππππ ihusike