sasa hivi hali nitete nafasi hazipo hata hospitali za private zimejaa mimi ni mhanga wa hilohosptali private zote hizo kashindwa kupitapita huko? mbona ajira zao njenje sana
Sasa kama taaluma ni ileile kwanini unaogopa kutaja chuo alichosoma, mtuu unashida na kazi alafu ukiulizwa maswali unavimba....mwambie huyo ndugu yako akalime matikiti ajira hakunasioni umuhimu wa kufahamu chuo alichosomea, taaluma ni ile ile hata ukisoma chuo cha zimbabwe
Mbegu mtafutie wewe ndugu yakembegu unazo nimuelekeze aje kuchukua mkuu?
pole cheki mikoa jitrani ndugu sijawahi kusikia kuwa tanzania imetosheka na madaktarisasa hivi hali nitete nafasi hazipo hata hospitali za private zimejaa mimi ni mhanga wa hilo
Upo Mkoa gani? piga simu 0784509752habari wakuu...
nina ndugu yangu kamaliza CO anatafuta kazi sehemu yeyote kwa dsm,
nitashukuru akisaidiwa.