Clinical medicine au electrical engineering ipi sahih?

Clinical medicine au electrical engineering ipi sahih?

Rugberna

Senior Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
154
Reaction score
213
Naombeni ushauri wakuu Kati ya diploma ya clinical medicine na electrical engineering njia ipi ni sahih kwa wakat tuliopo na tunavyoenda mbele.
 
Naombeni ushauri wakuu Kati ya diploma ya clinical medicine na electrical engineering njia ipi ni sahih kwa wakat tuliopo na tunavyoenda mbele
Wewe unapenda kuwa nani?
 
Doctor or engineer!!! Nimeishi kwenye hii dilemma kwa Miaka yote,,, umefika wakat wa kuchagua moja nataman nipate mtu aniongoze
Unatamani kuwa daktari au kuwa mhandisi.

Future Yako ni ipi Kwa badaee,
 
Passion ni daktari,,, lakin kitu kinachohusisha Maths Ndio nafikiri naweza kukifanya kwa urahisi zaidi
Nenda kasome kile unacho kipenda zaidi kati ya hizo kozi mbili kiasi Kwamba ukikutana na mchecheto wowote wakati wa kusoma uone ni kama challenge tu.
 
Naombeni ushauri wakuu Kati ya diploma ya clinical medicine na electrical engineering njia ipi ni sahih kwa wakat tuliopo na tunavyoenda mbele.
Hiyo electrical ni Diploma ama Degree?
 
Medical doctor ni career nzuri, saving lives etc na kwa bongo inaheshimika sana, inalipa ila sio sana kama ng'ambo. Kazi ya udaktari inaboa sometimes. Engineering inakupa wigo mpana wa kufanya mambo, it's entertaining and fun, inalipa vizuri na ni rahisi kujiajiri. Uchaguzi ni wako
 
Asante sana
 
Naombeni ushauri wakuu Kati ya diploma ya clinical medicine na electrical engineering njia ipi ni sahih kwa wakat tuliopo na tunavyoenda mbele.
Hiyo clinical medicine unataka uifanye kama ngazi ya kupandia kwenda MD au unataka kuifanyia kazi?

Kama jibu ni kuifanya kama entry ya kwenda bachelor/MD, kasome sana upate GPA isiyopungua 4.3 na usikae kitaa muda mrefu, pia ujipange kujilipia maana HESLB hawaeleweki siku hizi, kama lengo ni kuifanyia kazi tafakari vizuri.

NB: Clinical officer is too saturated now.
 
Back
Top Bottom