iam_Muhammad
Member
- Sep 19, 2017
- 29
- 12
Wadau kati ya course tajwa hapo juu ipi tamu? hasa interms of fursa nyingi za ajira!
Biomedical Eng...Wadau kati ya course tajwa hapo juu ipi tamu? hasa interms of fursa nyingi za ajira!
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuriDiploma in Clinical medicine.
1.AJIRA
Ni kozi ya kawaida kwa miaka ya hivi sasa,ajira zipo lakini zimepungua kulinganisha na miaka ya nyuma.Unaweza kutafuta ajira kwenye zahanati au vituo vya afya vya binafsi ukakosa hii ni kutokana na wingi wa watu walio soma kozi hii kwa sasa.
Mfano mwaka 2017 miaezi ya mwanzo kabla serikali haijapunguza watu wa afya kidogo kwa kutoa ajira 2400 za kada ya afya MD na CO walikuwa wanagombania vijiwe kwa mshahara ule ule. Kwahiyo usisomeuktegemea ajira haraka haraka haraka baadaya kumaliza...
Umemaliza kila kitu, tena hiyo Clinical Medicine ajipange, siku hizi Mitihan ya NACTE ni kila mwaka, Kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu, na disco zipo za kutosha.. ila kwa ushauri wangu kama anajiweza apige Clinical Medicine, baadae rahisi kujiendelezaDiploma in Clinical medicine.
1.AJIRA
Ni kozi ya kawaida kwa miaka ya hivi sasa,ajira zipo lakini zimepungua kulinganisha na miaka ya nyuma.Unaweza kutafuta ajira kwenye zahanati au vituo vya afya vya binafsi ukakosa hii ni kutokana na wingi wa watu walio soma kozi hii kwa sasa.Mfano mwaka 2017 miezi ya mwanzo kabla serikali haijapunguza watu wa afya kidogo kwa kutoa ajira 2400 za kada ya afya, MD na CO walikuwa wanagombania vijiwe kwa mshahara ule ule.Kwahiyo usisome ukitegemea ajira haraka haraka baadaya kumaliza.Huwezi amini kuna CO walio malliza mwaka 2018 mpaka leo hawana ajira na hata zahanati za binafsi ni shida.
Diploma in Clinical medicine.
1.AJIRA
Ni kozi ya kawaida kwa miaka ya hivi sasa,ajira zipo lakini zimepungua kulinganisha na miaka ya nyuma.Unaweza kutafuta ajira kwenye zahanati au vituo vya afya vya binafsi ukakosa hii ni kutokana na wingi wa watu walio soma kozi hii kwa sasa.Mfano mwaka 2017 miezi ya mwanzo kabla serikali haijapunguza watu wa afya kidogo kwa kutoa ajira 2400 za kada ya afya, MD na CO walikuwa wanagombania vijiwe kwa mshahara ule ule.Kwahiyo usisome ukitegemea ajira haraka haraka baadaya kumaliza.Huwezi amini kuna CO walio malliza mwaka 2018 mpaka leo hawana ajira na hata zahanati za binafsi ni shida..
2.NACTE
Usipo kaza ki sawa sawa unaweza kuchukua miaka mitano bila cheti ,mtihani ya NACTE lengo ni kupunguza watu katika kozi hii.Unaruhusiwa kufanya supplimentary mara mbili tu ukifeli unarudi nyumbani bila chet..
3.KUJIENDELEZA'
Wengi waliosoma kozi hii wanalia sana maana hawa kupata GPA ya 3.5 .Wanaopata GPA kama hii ni wachache sana.Wengi walitamani kuendelea lakini ukiona GPA iko chini 3.5 baasi sahau udaktari kabisa na pengine ukasome kozi nyingine au ukarudi kureast mtihani wa form six (PCB).Hii ni baada ya serikali kufuta kozi ya ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE(AMO) ambapo walikuwa chukua kuanzia GPA ya 2.7.
HITIMISHO; Ni kozi nzuri sana ukifaulu vizuri na kwa wakati, lakini pia ukiwa nasubira ya ajira kumbuka Clincal officer anatakiwa kuwa kwenye Zahanati na kiwango kidogo kituo cha afya tu.
DIPLOMA IN BIOMEDICAL ENGINEERING
1.Utangulizi
Ni kozi ambayo imeanzishwa hivi karibuni mwaka 2012, kwa mara ya kwanza ilikuwa inatolewana chuo cha DIT na baadaye Arusha Technical.Kwa miaka nyuma hatukuwa na kozi hii katika chuo chochote hapa nchini na hivyo walio kuwa wanafanya kazi hizi walikuwa na watu waliosomea nchini kenya au wa hitimu wa Electronics walio maliza vyuo vya UDSM,ST.JOSEPH na DIT.
2.AJIRA
Tofauti na matarajio ya wengi ajira na hata field zinahitaji uvumilivu kuliko hata Clinical medicine.Hii ni kutokana kuwa ajira nyingi zinategemea serikali itangaze ajira,kwa hiyo unaweza kumaliza miaka miwili ukisubiri ajira lakini zikitoka uhakika wa kupata ni asilimia 100.Makampuni mengi ya vifaa tiba(MEDICAL EQUIPMENT SUPPLY) kama Anudha,Crown,Kasmedics,Pyramid pharm,Pasific diagnostic,Bio care. e.t.c.Wengi hawa hitaji fresh from school,wengi wamejaza wageni kutoka Kenya na India na hata hivyo hawa hitaji watu wengi unaweza kukuta wanataka watu watatu au wawili wakati wahitimiu ni wengi.Kwa sasa vyuo vinavyo toa kozi za Biomedical Engineering ni vitatu (DIT,MUST na ATC).Hospitali za binafsi nyingi hazi hitaji kabisa Bio medical Technicians baadala yake kifaa kikiharibika huita kampuni husika na kutengeneza na maisha yanasonga.Mpaka sasa Hospitali za binafsi nchi nzima zenye Bio-medical techician/engineers ni Aga khan (DSM) ,TMJ Hospital (DSM) na Regency(DSM) hata hivyo hospitali hizo ni hospitali moja tu ambayo imeajili watanzania katika kitengo hicho.
CHANGAMOTO ZA AJIRA KATIKA KOZI HII
1. Wahitimu asilimia kubwa hawana uwezo wa kutatua changamoto za vifaa tiba kwa usahii ,hii ni kutokana na kukosa mafunzo kwa vitendo kutoka kwenye hospitali kubwa kama MUHIMBILI,BUGANDO ,AGA KHAN NA KCMC.Wahitimu wengi wamekuwa wakisemwa vibaya na waajiri wao na hasa walioko Hospitali za serikakli.,na hivyo utawala wa hospitali hizi hulazimika kutafuta fundi kwenye kampuni wakati wanaye fundi mwajiriwa.
HITIMISHO ;Aira zipo lakini zinahitaji subira ya serikali tu,hii nikutokana kuwa na makampuni ya vifaa tiba machache na hospitali nyingi za private kutokuwa na kitengo hicho.
Umenena vyema kiufupi kwa C.O kama ana mpango wa kusoma Mpaka MD aende angalau itabeba japo akaze msuli ila kama hana mpango aachane na hiyo kozi maana kwa sasa C.O hakuna kazi watu wanafanya kazi vijiweni malipo 10k per day.
Umemaliza kila kitu, tena hiyo Clinical Medicine ajipange, siku hizi Mitihan ya NACTE ni kila mwaka, Kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu, na disco zipo za kutosha.. ila kwa ushauri wangu kama anajiweza apige Clinical Medicine, baadae rahisi kujiendeleza
Asante mkuu nashukuruImewahi kujadiliwa humu mara kadhaa. Ukichangamsha macho ukapokea kurasa kadha, bilashaka utaziona threads za Biomedical engineering