E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Apr 27, 2011 #1 Haya tena jamani hatimae jipu limepasuka,baada ya Mzee wa ukweli na uwazi kupigwa chini sasa Clementi Mshana aula Ukurugenzi TBC SOURSE CLOUDS FM JAHAZI
Haya tena jamani hatimae jipu limepasuka,baada ya Mzee wa ukweli na uwazi kupigwa chini sasa Clementi Mshana aula Ukurugenzi TBC SOURSE CLOUDS FM JAHAZI
Pharaoh JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 843 Reaction score 158 Apr 27, 2011 #2 huyu ana sifa gani? tumechoka kuangalia kioo cha buluu, tunataka TV ya kweli, sio ngoma za kikabila kutwa, angepewa msomi mzuri...
huyu ana sifa gani? tumechoka kuangalia kioo cha buluu, tunataka TV ya kweli, sio ngoma za kikabila kutwa, angepewa msomi mzuri...
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Apr 27, 2011 Thread starter #3 Pharaoh said: huyu ana sifa gani? tumechoka kuangalia kioo cha buluu, tunataka TV ya kweli, sio ngoma za kikabila kutwa, angepewa msomi mzuri... Click to expand... kwa jinsi ninavyo mfahamu tangu enzi hizo ni wale wale vibaraka walioletwa kuiuwa TBC ,Baada ya Mzee Mhando kuiweka ktkmazingira ya kujitegemea
Pharaoh said: huyu ana sifa gani? tumechoka kuangalia kioo cha buluu, tunataka TV ya kweli, sio ngoma za kikabila kutwa, angepewa msomi mzuri... Click to expand... kwa jinsi ninavyo mfahamu tangu enzi hizo ni wale wale vibaraka walioletwa kuiuwa TBC ,Baada ya Mzee Mhando kuiweka ktkmazingira ya kujitegemea