SUNDIATAKEITA
Senior Member
- Jan 1, 2015
- 157
- 89
Thank you for all participants, Only shortlisted will be contacted.Habari, anahitajika kijana mwenye certificate au diploma ya Clearing and forwarding.
Kwa mwenye uhitaji atume VYETI kweny email hii
hamishusna07@gmail.com
NAFASI NI MOJA, OFISI ZIPO POSTA DSM. wakwanza kuwasilisha Maombi atapewa kipaombele.
Kwani wameapply wangapi?Thank you for all participants, Only shortlisted will be contacted.
Jamaa ana speed hatari.Kwani wameapply wangapi?
Kuna kijana hana hizo qualfications ila anausoefu wa zaidi ya miaka mitatu na kazi hizo nikuunganishe naye.Habari, anahitajika kijana mwenye certificate au diploma ya Clearing and forwarding.
Kwa mwenye uhitaji atume VYETI kweny email hii
hamishusna07@gmail.com
NAFASI NI MOJA, OFISI ZIPO POSTA DSM. wakwanza kuwasilisha Maombi atapewa kipaombele.
"Anausoefu" ..... Angekuwa na "uzoefu" ingependeza zaidi.Kuna kijana hana hizo qualfications ila anausoefu wa zaidi ya miaka mitatu na kazi hizo nikuunganishe naye.
#MaendeleoHayanaChama
Typing error..ni uzoefu."Anausoefu" ..... Angekuwa na "uzoefu" ingependeza zaidi.
Shimbonyi shafo mangi....
Anapost na kujijibu mwenyewe....Jamaa ana speed hatari.
Najua mkuu...Typing error..ni uzoefu.
#MaendeleoHayanaChama