Clean 40 Ft Containers For Sale In Dar es Salaam

Clean 40 Ft Containers For Sale In Dar es Salaam

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
Hi, Interested parties interested in buying the above mentioned containers kindly get in touch with me on 0784225000 or 0755312233 for whatsapp .I can make arrangement for trucks to haul it to any part of the country for buyers.Price Negotiable Pls ONLY Serious buyers. Thank you,
attachment.php
 

Attachments

  • c.jpg
    c.jpg
    31.2 KB · Views: 707
Ndugu ukiambiwa bei maelewano, maana yake mnaweza kuongea na kuongea mpaka mfikie muafaka. Piga simu tuongee na kuongea.
 
Ni za 20ft au 40ft. Ziko wapi? Price range ni vipi?
 
Nina 1m na nakaa Kibamba Muhimbili. Simu yangu ni 0784434313 au 0759765663 tuongee kibiashara sio kidalalidalali. Means of payment ie by instalment? Part payment before shipment or on site delivery.
Ndugu ukiambiwa bei maelewano, maana yake mnaweza kuongea na kuongea mpaka mfikie muafaka. Piga simu tuongee na kuongea.
 
Hivi ukinunua container kunakuwa na documents zake zingine zaidi ya mkataba wa mauziano!
 
''Kuongea na kuongea bila starting price? Mwisho wake mtaishia kuongea matusi pande zote''.
Una maana gani usemapo matusi? ndiyo nyie mnayeogopa kuvitaja viungo vingine vya binadamu mnasema matusi.
Mheshimiwa piga simu utajua starting price mpaka ending price. Wenzio wenye kuhitaji hayo makontainer wanapiga simu, wana ni whatsapp...nimeweka namba simu hapo ili mwenye kuhitaji anipigie wewe unaogopa kupiga simu? unazunguka zunguka. Naona wewe huhitaji kununua nakushauri nenda ukaangalie English Premier League.
 
zipo 40fts tu.Unahitaji piga simu au whatsapp 0755312233.
 
love comes naturally; hate is taught.
 
''Hivi ukinunua container kunakuwa na documents zake zingine zaidi ya mkataba wa mauziano!'''

napewa nyaraka tatu:1. Bill of landing copy, 2:Mkataba wa mauziano na 3: Stakabadhi.
 
Hapo juu #hekimatelz na #kitomai mbna paragraph ya kwanza kwenye michango yenu inafanana.?is t a coincidence ama ni mtu mmoja ana majina mawili.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom