Classmate kaniteka akili zangu

Chakufanya vunga,ukijipendekeza jamaa atakufumua marinda tu hakuna namna
 
[emoji120]
Maumivu nayajua kwa kweli!
Huyu jamaa ana angalia upande wake tu, ana sahau, kuwa mwenzie ata umia.
Siku zote ukiwa hujapitia shida unakuwa una jifikiria wewe tu.
Dah
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…