JOFFREY BARATHEON
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 107
- 195
Mimi ni mgeni hapa maryland..nlijua nkija hapa ntakuta watanzania mambo ya bongo wameacha bongo..lkn naona dah bado watu wana mambo ya mchoro mchoro, kupeana kashfa nk..jakyanani wabongo tumelaaniwa maana hatinadiliki hata tuwe wapi..huwezi amini DMV ina mambo ya uccm na uchadema..nk
Sio hapa tu watanzania tuna matitizo sugu...ambayo inabidi kuyafuta hasa ss tulioko huku...hata hichi unachojaribu kuexpress hapa ni mojawapo ya matatizo yetu...kukimbia wajbu na kusukumia wengine..wewe upo wapi us ambayo wabongo hawana mambo ya ajabu ajabu..!? Tubadilike..!!Hiyo ni jumuia yenu ya kiswahili hapo DC hamna la kufanya hapo jumuia nyingine US haziko hivo
Hiyo ni jumuia yenu ya kiswahili hapo DC hamna la kufanya hapo jumuia nyingine US haziko hivo
Yule jamaa anayejiita sijui "Libe" ndiyo tatizo. The dude is so petty and full of shit. Anatia kichefu chefu. Mpuuzi mkubwa na kubwa jinga!
Mtahangaika sana,Kuna MTU anaitwa liberatus mwangombe ni mgombea urais DMV kwao ni pale chimala mbeya ni mshenz sana muhuni anajifanya anataka changes analeta mambo ya politiks uchwara
Mtahangaika sana,